Judges 14:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baba yake akaenda nyumbani kwa yule msichana, naye Samsoni akafanya karamu huko, kama walivyofanya vijana wakati huo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi baba yake akateremka kumwona huyo mwanamke. Samsoni akafanya karamu huko, kama ilivyokuwa desturi ya vijana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi babaye akamtelemkia huyo mwanamke; Samsoni naye akafanya karamu huko; kwa kuwa vijana ndivyo walivyokuwa wakifanya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baba yake akaenda nyumbani kwa yule msichana, naye Samsoni akafanya karamu huko, kama walivyofanya vijana wakati huo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi baba yake akatelemka kumwona huyo mwanamke. Samsoni akafanya karamu huko, kama ilivyokuwa desturi ya vijana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi baba yake akateremka kumwona huyo mwanamke. Samsoni akafanya karamu huko, kama ilivyokuwa desturi ya vijana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi babaye akamteremkia huyo mwanamke; Samsoni naye akafanya karamu huko; kwa kuwa ndivyo vijana walivyokuwa wakifanya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baba yake akaenda nyumbani kwa yule msichana, naye Samsoni akafanya karamu huko, kama walivyofanya vijana wakati huo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Baba yake alipotelemka kwenda kwa yule mwanamke, Samusoni akafanya huko karamu, kwani ndivyo, vijana walivyofanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi babaye akamtelemkia huyo mwanamke; Samsoni naye akafanya karamu huko; kwa kuwa vijana ndivyo walivyokuwa wakifanya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Baba yake akaenda katika nyumba ya yule binti, naye Samusoni akafanya karamu kule, kama vile vijana walivyofanya kwa wakati ule.