Judges 14:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wafilisti walipomwona Samsoni wakamletea vijana thelathini wakae naye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu walipomwona, wakaleta vijana wenzake thelathini ili kuwa pamoja naye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi ikawa hapo walipomwona, wakamletea wenziwe thelathini, wawe pamoja naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafilisti walipomwona Samsoni wakamletea vijana thelathini wakae naye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu walipomwona, wakaleta vijana wenzake thelathini ili kuwa pamoja naye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu walipomwona, wakaleta vijana wenzake thelathini ili kuwa pamoja naye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi ikawa hapo watu walipomwona, wakamletea wenziwe thelathini, wawe pamoja naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wafilisti walipomwona Samsoni wakamletea vijana thelathini wakae naye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, walipomwona wakachukua wenzake 30 wa kuwa naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi ikawa hapo walipomwona, wakamletea wenziwe thelathini, wawe pamoja naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wafilistini walipomwona Samusoni wakamuletea vijana makumi tatu wakae naye.