Judges 14:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wakamwoza mwanamke wake kwa kijana mmoja ambaye alikuwa mdhamini wa Samsoni katika harusi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye mke wa Samsoni akakabidhiwa kwa rafiki yake Samsoni aliyekuwa msaidizi wake siku ya arusi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini huyo mke wa Samsoni aliozwa mwenzake, ambaye alikuwa amemtendea kama rafikiye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wakamwoza mwanamke wake kwa kijana mmoja ambaye alikuwa mdhamini wa Samsoni katika harusi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini huyo mke wa Samsoni akakabidhiwa kwa rafiki yake Samsoni ambaye alikuwa rafiki yake msaidizi siku ya arusi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini huyo mke wa Samsoni akakabidhiwa kwa rafiki yake Samsoni ambaye alikuwa rafiki yake msaidizi siku ya arusi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini huyo mke wa Samsoni aliozwa mwenzake, ambaye alikuwa amemtendea kama rafikiye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wakamwoza mwanamke wake kwa kijana mmoja ambaye alikuwa mdhamini wa Samsoni katika harusi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha mkewe Samusoni akawa mkewe mmoja wao wenzake, Samusoni aliyemchagua kuwa rafiki yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini huyo mke wa Samsoni aliozwa mwenzake, ambaye alikuwa amemtendea kama rafikiye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, wakamwoesha mwanamuke wake kwa kijana mumoja ambaye alikuwa rafiki ya Samusoni katika arusi.