Judges 14:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha akateremka akaenda kuzungumza na yule msichana; huyo msichana alimpendeza sana Samsoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi akateremka na kuongea na yule mwanamke, naye akampendeza Samsoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi akatelemka na kuzungumza na huyo mwanamke; naye akampendeza Samsoni sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha akateremka akaenda kuzungumza na yule msichana; huyo msichana alimpendeza sana Samsoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi akatelemka na kuongea na yule mwanamke, naye akampendeza Samsoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi akateremka na kuongea na yule mwanamke, naye akampendeza Samsoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi akateremka na kuzungumza na huyo mwanamke; naye akampendeza Samsoni sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha akateremka akaenda kuzungumza na yule msichana; huyo msichana alimpendeza sana Samsoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akaenda Timuna kuongea na yule mwanamke, naye akapendeza zaidi machoni pake Samusoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi akatelemka na kuzungumza na huyo mwanamke; naye akampendeza Samsoni sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akateremuka akaenda kuzungumuza na yule binti. Yule binti alimupendeza sana Samusoni.