Judges 15:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa Yuda wakawauliza, “Kwa nini mmekuja kutushambulia?” Nao wakawajibu, “Tumekuja ili tumfunge Samsoni na kumtendea kama alivyotutendea.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wa Yuda wakawauliza, “Kwa nini mmekuja kupigana nasi?” Wakawajibu, “Tumekuja ili kumkamata Samsoni na kumtenda kama alivyotutendea.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wa Yuda wakasema, Mbona mmekuja kupigana nasi? Wakasema, Tumepanda ili kumfunga Samsoni, kumtenda yeye kama alivyotutenda sisi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa Yuda wakawauliza, “Kwa nini mmekuja kutushambulia?” Nao wakawajibu, “Tumekuja ili tumfunge Samsoni na kumtendea kama alivyotutendea.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wa Yuda wakawauliza, “Kwa nini mmekuja kupigana nasi?” Wakawajibu, “Tumekuja ili kumkamata Samsoni na kumtenda kama alivyotutendea.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wa Yuda wakawauliza, “Kwa nini mmekuja kupigana nasi?” Wakawajibu, “Tumekuja ili kumkamata Samsoni na kumtenda kama alivyotutendea.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wa Yuda wakasema, Mbona mmekuja kupigana nasi? Wakasema, Tumekuja ili kumfunga Samsoni, kumtenda yeye kama alivyotutenda sisi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa Yuda wakawauliza, “Kwa nini mmekuja kutushambulia?” Nao wakawajibu, “Tumekuja ili tumfunge Samsoni na kumtendea kama alivyotutendea.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wayuda walipowauliza: Mmetupandia kwa sababu gani? wakasema: Tumepanda, tumfunge Samusoni, tumfanyizie, kama alivyotufanyizia sisi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wa Yuda wakasema, Mbona mmekuja kupigana nasi? Wakasema, Tumepanda ili kumfunga Samsoni, kumtenda yeye kama alivyotutenda sisi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa Yuda wakawauliza: “Kwa nini mumekuja kutushambulia?” Nao wakawajibu: “Tumekuja kusudi tumufunge Samusoni na kumutendea kama alivyotutendea.”