Judges 15:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Samsoni akasema, “Kwa utaya wa punda, nimeua watu elfu moja. Kwa utaya wa punda, nimekusanya marundo ya maiti.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Samsoni akasema, “Kwa taya la punda malundo juu ya lundo, kwa taya la punda nimeua watu elfu moja.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Samsoni akasema, Kwa taya ya punda chungu juu ya chungu, Kwa taya ya punda nimepiga watu elfu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Samsoni akasema, “Kwa utaya wa punda, nimeua watu elfu moja. Kwa utaya wa punda, nimekusanya marundo ya maiti.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Samsoni akasema, “Kwa taya la punda malundo juu ya malundo. Kwa taya la punda nimeua watu 1,000.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Samsoni akasema, “Kwa taya la punda malundo juu ya malundo. Kwa taya la punda nimeua watu 1,000.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Samsoni akasema, Kwa taya ya punda, chungu juu ya chungu, Kwa taya ya punda nimeua watu elfu moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Samsoni akasema, “Kwa utaya wa punda, nimeua watu elfu moja. Kwa utaya wa punda, nimekusanya marundo ya maiti.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Samusoni akasema: Kwa taya la punda wanalala machungu, huku chungu moja, huko machungu mawili; kwa taya la punda nimewaua watu elfu zima.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Samsoni akasema, Kwa taya ya punda chungu juu ya chungu, Kwa taya ya punda nimepiga watu elfu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Samusoni akasema: “Kwa utaya wa punda, nimeua watu elfu moja. Kwa utaya wa punda, nimekusanya malundo ya maiti.”