Judges 15:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alipomaliza kusema, akatupa utaya huo. Mahali hapo pakaitwa Ramath-lehi, yaani mlima wa utaya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alipomaliza kusema, akautupa ule mfupa wa taya; na mahali pale pakaitwa Ramath-Lehi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa, alipokuwa amekwisha kunena akautupa ule mfupa wa taya mkononi mwake; na mahali pale pakaitwa Ramath-lehi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alipomaliza kusema, akatupa utaya huo. Mahali hapo pakaitwa Ramath-lehi, yaani mlima wa utaya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alipomaliza kusema, akautupa ule mfupa wa taya; na mahali pale pakaitwa Ramath-Lehi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alipomaliza kusema, akautupa ule mfupa wa taya; na mahali pale pakaitwa Ramath-Lehi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa, alipokuwa amekwisha kunena akautupa ule mfupa wa taya kutoka mkononi mwake; na mahali pale pakaitwa Ramath-lehi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alipomaliza kusema, akatupa utaya huo. Mahali hapo pakaitwa Ramath-lehi, yaani mlima wa utaya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipokwisha kuyasema haya, akautupa huo mfupa wa taya, alioushika mkononi mwake; kwa hiyo watu wakapaita mahali pale Ramati-Lehi (Kilima cha Taya).
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa, alipokuwa amekwisha kunena akautupa ule mfupa wa taya mkononi mwake; na mahali pale pakaitwa Ramath-lehi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alipomaliza kusema, akatupa utaya huo. Pahali pale pakaitwa Ramati-Lehi, maana yake “Mulima wa Utaya”.