Judges 15:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Samsoni akashikwa na kiu sana. Basi, akamwomba Mwenyezi-Mungu, akisema, “Ee Mungu, wewe ndiwe uliyeleta ukombozi huu, kwa kunitumia mimi mtumishi wako. Je, sasa utaniacha nife kwa kiu na kutekwa na Wafilisti hawa wasiotahiriwa?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa alihisi kiu sana, akamlilia Mwenyezi Mungu, akisema, “Umempa mtumishi wako ushindi huu mkuu. Je, sasa nife kwa kiu na kuangukia mikononi mwa hawa watu wasiotahiriwa?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akaona kiu sana, akamwita Bwana akasema, Wewe umetupa wokovu huu kwa mkono wa mtumishi wako; na sasa nitakufa kwa kiu, na kuanguka katika mikono ya watu wasiotahiriwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Samsoni akashikwa na kiu sana. Basi, akamwomba Mwenyezi-Mungu, akisema, “Ee Mungu, wewe ndiwe uliyeleta ukombozi huu, kwa kunitumia mimi mtumishi wako. Je, sasa utaniacha nife kwa kiu na kutekwa na Wafilisti hawa wasiotahiriwa?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa alikuwa amesikia kiu sana, akamlilia BWANA akisema, “Umempa mtumishi wako ushindi huu mkuu. Je, sasa nife kwa kiu na kuangukia mikononi mwa hawa watu wasiotahiriwa?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa alikuwa amesikia kiu sana, akamlilia bwana akisema, “Umempa mtumishi wako ushindi huu mkuu. Je, sasa nife kwa kiu na kuangukia mikononi mwa hawa watu wasiotahiriwa?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akaona kiu sana, akamwita BWANA akasema, Wewe umetupa wokovu huu kwa mkono wa mtumishi wako; na sasa nitakufa kwa kiu, na kuanguka katika mikono ya watu wasiotahiriwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Samsoni akashikwa na kiu sana. Basi, akamwomba Mwenyezi-Mungu, akisema, “Ee Mungu, wewe ndiwe uliyeleta ukombozi huu, kwa kunitumia mimi mtumishi wako. Je, sasa utaniacha nife kwa kiu na kutekwa na Wafilisti hawa wasiotahiriwa?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akaona kiu kali, ndipo, alipomlilia Bwana akisema: Wokovu huu mkubwa umewapatia hawa kwa mkono wa mtumishi wako; sasa nife kwa kiu, nianguke mikononi mwao hao wasiotahiriwa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akaona kiu sana, akamwita BWANA akasema, Wewe umetupa wokovu huu kwa mkono wa mtumishi wako; na sasa nitakufa kwa kiu, na kuanguka katika mikono ya watu wasiotahiriwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Samusoni akashikwa na kiu sana. Basi, akamwomba Yawe, akisema: “Ee Mungu, wewe ndiwe uliyeleta ukombozi huu, kwa kunitumia mimi mutumishi wako. Sasa utaniacha nikufe kwa kiu na kutekwa na Wafilistini hawa wasiotahiriwa?”