Judges 15:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akamwambia, “Mimi nilidhani ulimchukia kabisa. Kwa hiyo nilimwoza rafiki yako. Hata hivyo, dada yake mdogo ni mzuri kuliko yeye. Tafadhali, umwoe huyo badala yake.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baba mkwe wake akamwambia, “Nilikuwa na hakika kwamba ulimchukia, hivyo nikampeana kwa rafiki yako. Je, dada yake mdogo si mzuri kuliko yeye? Mchukue huyo badala yake.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Baba yake akasema, Hakika mimi nalidhani ya kuwa umemchukia kabisa; basi nalimpa rafiki yako. Je! Ndugu yake mdogo mzuri kuliko yeye? Tafadhali, mtwae huyo badala yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akamwambia, “Mimi nilidhani ulimchukia kabisa. Kwa hiyo nilimwoza rafiki yako. Hata hivyo, dada yake mdogo ni mzuri kuliko yeye. Tafadhali, umwoe huyo badala yake.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huyo baba mkwe wake akamwambia, “Nilikuwa na hakika kwamba ulimkataa, hivyo mimi nikampa rafiki yako. Je, mdogo wake wa kike si mzuri zaidi kuliko yeye? Mchukue huyo badala yake.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huyo baba mkwe wake akamwambia, “Nilikuwa na hakika kwamba ulimkataa, hivyo mimi nikampa rafiki yako. Je, mdogo wake wa kike si mzuri zaidi kuliko yeye? Mchukue huyo badala yake.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Baba yake akasema, Hakika mimi nilidhani ya kuwa umemchukia kabisa; basi nilimpa rafiki yako. Je! Si dada yake mdogo ni mzuri kuliko yeye? Tafadhali, mtwae huyo badala yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akamwambia, “Mimi nilidhani ulimchukia kabisa. Kwa hiyo nilimwoza rafiki yako. Hata hivyo, dada yake mdogo ni mzuri kuliko yeye. Tafadhali, umwoe huyo badala yake.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Baba yake akamwambia: Nilidhani, umechukizwa naye, nikampa mwenzako; je? Ndugu yake mdogo si mwema kuliko yeye? Na awe wako mahali pake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Baba yake akasema, Hakika mimi nalidhani ya kuwa umemchukia kabisa; basi nalimpa rafiki yako. Je! Ndugu yake mdogo mzuri kuliko yeye? Tafadhali, mtwae huyo badala yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
akamwambia: “Mimi nilizani kwamba ulimuchukia kabisa. Kwa hiyo nilimwoesha kwa rafiki yako. Hata hivyo, dada yake mudogo ni muzuri kuliko yeye. Tafazali, umwoe huyo kwa pahali pake.”