Judges 15:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Samsoni akamwambia, “Safari hii sitakuwa na lawama kwa yale nitakayowatendea Wafilisti.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Samsoni akawaambia, “Wakati huu, nitakapowadhuru Wafilisti, sitakuwa na lawama.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Samsoni akasema, Safari hii nitakuwa sina hatia katika habari za hawa Wafilisti, hapo nitakapowadhuru.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Samsoni akamwambia, “Safari hii sitakuwa na lawama kwa yale nitakayowatendea Wafilisti.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Samsoni akawaambia, “Wakati huu, nitakapowadhuru Wafilisti, sitakuwa na lawama.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Samsoni akawaambia, “Wakati huu, nitakapowadhuru Wafilisti, sitakuwa na lawama.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Samsoni akasema, Safari hii nitakuwa sina hatia kwa hawa Wafilisti, hapo nitakapowadhuru.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Samsoni akamwambia, “Safari hii sitakuwa na lawama kwa yale nitakayowatendea Wafilisti.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Samusoni akawaambia: Mara hii sitakora manza kwao Wafilisti nikiwafanyizia mabaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Samsoni akasema, Safari hii nitakuwa sina hatia katika habari za hawa Wafilisti, hapo nitakapowadhuru.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Samusoni akamwambia: “Mara hii sitakuwa na kosa kwa yale nitakayowatendea Wafilistini.”