Judges 15:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu akaiwasha hiyo mienge na kuwaachilia hao mbweha ambao waliingia kwenye mashamba ya Wafilisti na kuteketeza miganda ya ngano na pia ngano iliyokuwa bado haijavunwa hata na mashamba ya mizeituni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawasha ile mienge na kuwaachia wale mbweha katika mashamba ya Wafilisti ya nafaka zilizosimamishwa katika matita. Akateketeza matita ya nafaka, pamoja na mashamba ya mizabibu na mashamba ya mizeituni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alipokwisha kuviwasha moto vile vienge, akawaachia mbweha kati ya ngano ya Wafilisti, akayateketeza matita, na ngano, hata na mashamba ya mizeituni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu akaiwasha hiyo mienge na kuwaachilia hao mbweha ambao waliingia kwenye mashamba ya Wafilisti na kuteketeza miganda ya ngano na pia ngano iliyokuwa bado haijavunwa hata na mashamba ya mizeituni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
akawasha ile mienge na kuwaachia wale mbweha katika mashamba ya Wafilisti ya nafaka zilizosimamishwa matitamatita. Akateketeza matita ya nafaka zilizosimama, pamoja na mashamba ya mizabibu na viunga vya mizeituni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
akawasha ile mienge na kuwaachia wale mbweha katika mashamba ya Wafilisti ya nafaka zilizosimamishwa katika matita. Akateketeza matita ya nafaka zilizosimama, pamoja na mashamba ya mizabibu na viunga vya mizeituni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alipokwisha kuiwasha moto ile mienge, akawaachia mbweha kati ya ngano ya Wafilisti, akayateketeza matita, na ngano, hata na mashamba ya mizeituni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu akaiwasha hiyo mienge na kuwaachilia hao mbweha ambao waliingia kwenye mashamba ya Wafilisti na kuteketeza miganda ya ngano na pia ngano iliyokuwa bado haijavunwa hata na mashamba ya mizeituni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena alipokwisha kuiwasha moto ile mienge, akawaacha, waende mashambani kwa Wafilisti kwenye ngano; ndivyo, alivyozichoma hizo ngano zilizokwisha kufungwa miganda, nazo zilizokuwa mabuani bado, hata mizabibu na michekele.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alipokwisha kuviwasha moto vile vienge, akawaachia mbweha kati ya ngano ya Wafilisti, akayateketeza matita, na ngano, hata na mashamba ya mizeituni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Halafu akaiwasha hiyo mienge na kuwaachilia. Wakaingia kwenye mashamba ya Wafilistini na kuteketeza miganda ya ngano na vilevile ngano iliyokuwa bado haijavunwa hata na mashamba ya mizeituni.