Judges 15:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, akawashambulia vikali na kuwaua wengi. Kisha akaenda kuishi katika pango la mwamba wa Etamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawashambulia kwa ukali na kuwaua watu wengi sana. Kisha akateremka na kukaa kwenye pango katika mwamba wa Etamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawapiga upeo, mapigo makuu sana, kisha akatelemka akakaa katika ufa wa jabali la Etamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, akawashambulia vikali na kuwaua wengi. Kisha akaenda kuishi katika pango la mwamba wa Etamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawashambulia kwa ukali kwa mapigo makuu na kuwaua watu wengi sana. Kisha akatelemka na kukaa katika ufa kwenye mwamba wa Etamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawashambulia kwa ukali kwa mapigo makuu na kuwaua watu wengi sana. Kisha akateremka na kukaa katika ufa kwenye mwamba wa Etamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo akawashambulia vikali na kuwaua wengi, kisha akateremka na kukaa katika ufa wa jabali la Etamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, akawashambulia vikali na kuwaua wengi. Kisha akaenda kuishi katika pango la mwamba wa Etamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawapiga akitumia mguu wa mmoja wa kupigia kiuno cha mwingine, likawa pigo kubwa sana. Kisha akaenda kukaa katika pango la mwamba wa Etamu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawapiga upeo, mapigo makuu sana, kisha akatelemka akakaa katika ufa wa jabali la Etamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, akawashambulia vikali na kuwaua wengi. Kisha akaenda kuishi katika pango la Etamu lililokuwa chini ya jiwe.