Judges 16:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku moja Samsoni alikwenda mjini Gaza, akakutana na malaya mmoja akalala naye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku moja Samsoni alienda Gaza, akamwona mwanamke kahaba, naye akaingia kwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Samsoni akaenda Gaza, akaona huko mwanamke kahaba, akaingia kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku moja Samsoni alikwenda mjini Gaza, akakutana na malaya mmoja akalala naye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku moja Samsoni akaenda Gaza, akamwona huko mwanamke kahaba, naye akaingia kwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku moja Samsoni alienda Gaza, akamwona mwanamke kahaba, naye akaingia kwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Samsoni akaenda Gaza, akaona huko mwanamke kahaba, akaingia kwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku moja Samsoni alikwenda mjini Gaza, akakutana na malaya mmoja akalala naye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Samusoni alipokwenda Gaza akaona huko mwanamke mgoni, akaingia kwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Samsoni akaenda Gaza, akaona huko mwanamke kahaba, akaingia kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku moja Samusoni akakwenda katika muji wa Gaza, akakutana na kahaba mumoja akalala naye.