Judges 16:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Delila akamwambia Samsoni, “Wewe umenidhihaki. Umenidanganya. Tafadhali niambie jinsi unavyoweza kufungwa.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Delila akamwambia Samsoni, “Umenifanyia mzaha na kuniambia uongo. Tafadhali niambie unaweza kufungwa kwa kitu gani?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Delila akamwambia Samsoni, Tazama, umenidhihaki, na kuniambia uongo; sasa tafadhali, niambie, waweza kufungwa kwa kitu gani?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Delila akamwambia Samsoni, “Wewe umenidhihaki. Umenidanganya. Tafadhali niambie jinsi unavyoweza kufungwa.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Delila akamwambia Samsoni, “Umenifanyia mzaha na kuniambia uongo. Tafadhali niambie waweza kufungwa kwa kitu gani?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Delila akamwambia Samsoni, “Umenifanyia mzaha na kuniambia uongo. Tafadhali niambie waweza kufungwa kwa kitu gani?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Delila akamwambia Samsoni, Tazama, umenidhihaki, na kuniambia uongo; sasa tafadhali, niambie, waweza kufungwa kwa kitu gani?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Delila akamwambia Samsoni, “Wewe umenidhihaki. Umenidanganya. Tafadhali niambie jinsi unavyoweza kufungwa.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Delila akamwambia Samusoni: Tazama, umenidanganya, ukaniambia maneno ya uwongo, sasa nijulishe, ndivyo ufungwe navyo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Delila akamwambia Samsoni, Tazama, umenidhihaki, na kuniambia uongo; sasa tafadhali, niambie, waweza kufungwa kwa kitu gani?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Delila akamwambia Samusoni: “Wewe umenichekelea. Umenidanganya. Tafazali, uniambie jinsi unavyoweza kufungwa.”