Judges 16:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Samsoni akamjibu, “Wakinifunga kwa kamba mpya ambazo hazijatumiwa, nitakuwa dhaifu kama mtu yeyote.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akamwambia, “Kama nikifungwa kwa uthabiti kwa kamba mpya ambazo hazijatumika, basi nitakuwa dhaifu kama mtu mwingine yeyote.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamwambia Wakinifunga tu kwa kamba mpya ambazo mtu hakufanya kazi nazo, hapo ndipo nitakuwa dhaifu, nitakuwa kama wanadamu wenzangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Samsoni akamjibu, “Wakinifunga kwa kamba mpya ambazo hazijatumiwa, nitakuwa dhaifu kama mtu yeyote.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akamwambia, “Wakinifunga kwa uthabiti kwa kamba mpya ambazo hazijatumika, basi nitakuwa dhaifu kama mtu mwingine ye yote.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akamwambia, “Wakinifunga kwa uthabiti kwa kamba mpya ambazo hazijatumika, basi nitakuwa dhaifu kama mtu mwingine yeyote.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamwambia Wakinifunga tu kwa kamba mpya ambazo mtu hakufanya kazi nazo, hapo ndipo nitakuwa dhaifu, nitakuwa kama wanadamu wenzangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Samsoni akamjibu, “Wakinifunga kwa kamba mpya ambazo hazijatumiwa, nitakuwa dhaifu kama mtu yeyote.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamwambia: Kama wangenifunga kwa kamba mpya zisizotumika bado kazini, ningekuwa mnyonge kuwa kama kila mtu mwingine.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamwambia Wakinifunga tu kwa kamba mpya ambazo mtu hakufanya kazi nazo, hapo ndipo nitakuwa dhaifu, nitakuwa kama wanadamu wenzangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Samusoni akamujibu: “Wakinifunga kwa kamba nyipya ambazo hazijatumiwa, nitakuwa zaifu kama mutu yeyote.”