Judges 16:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Delila akamfanya Samsoni alale usingizi magotini mwake, akamwita mtu amnyoe vile vishungi vyake saba. Kisha Delila akaanza kumtesa Samsoni kwa kuwa sasa nguvu zilikuwa zimemtoka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Delila akamfanya alale usingizi magotini pake, akamwita mtu amnyoe vile vishungi saba vya nywele za kichwa chake. Delila akaanza kumnyong’onyesha Samsoni, nazo nguvu zake zikamtoka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akamlaza usingizi magotini pake. Kisha akamwita mtu akavinyoa vile vishungi saba vya nywele za kichwa chake; akaanza kumsumbua, nguvu zake zikamtoka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Delila akamfanya Samsoni alale usingizi magotini mwake, akamwita mtu amnyoe vile vishungi vyake saba. Kisha Delila akaanza kumtesa Samsoni kwa kuwa sasa nguvu zilikuwa zimemtoka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Delila akamfanya alale usingizi magotini pake, akamwita mtu akamnyoa vile vishungi saba vya nywele za kichwa chake. Akaanza kumsumbua ili aamke nazo nguvu zake zikamtoka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Delila akamfanya alale usingizi magotini pake, akamwita mtu akamnyoa vile vishungi saba vya nywele za kichwa chake. Akaanza kumsumbua ili aamke nazo nguvu zake zikamtoka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akamlaza usingizi magotini pake. Kisha akamwita mtu akavinyoa vile vishungi saba vya nywele za kichwa chake; akaanza kumsumbua, nguvu zake zikamtoka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Delila akamfanya Samsoni alale usingizi magotini mwake, akamwita mtu amnyoe vile vishungi vyake saba. Kisha Delila akaanza kumtesa Samsoni kwa kuwa sasa nguvu zilikuwa zimemtoka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akambembeleza, alale usingizi penye magoti yake; alipokwisha akaita mtu, naye akazinyoa zile chungu saba za kichwani pake; ndivyo, alivyoanza kumshinda, maana nguvu zake zilikuwa zimemtoka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akamlaza usingizi magotini pake. Kisha akamwita mtu akavinyoa vile vishungi saba vya nywele za kichwa chake; akaanza kumsumbua, nguvu zake zikamtoka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Delila akamufanya Samusoni alale usingizi juu ya magoti yake, akamwita mutu amunyoe ile misuko yake saba. Kisha Delila akaanza kumutesa Samusoni kwa sababu sasa nguvu zilikuwa zimemutoka.