Judges 16:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini nywele zake zikaanza kukua tena baada ya kunyolewa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati huo nywele za kichwa chake zikaanza kukua tena baada ya kunyolewa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini zile nywele za kichwa chake zikaanza kukua tena baada ya kunyolewa kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini nywele zake zikaanza kukua tena baada ya kunyolewa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati huo nywele za kichwa chake zikaanza kukua tena baada ya kunyolewa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati huo nywele za kichwa chake zikaanza kukua tena baada ya kunyolewa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini zile nywele za kichwa chake zikaanza kukua tena baada ya kunyolewa kwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini nywele zake zikaanza kukua tena baada ya kunyolewa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini kwa hivyo, alivyonyolewa, nywele za kichwani pake zikaanza kuota tena.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini zile nywele za kichwa chake zikaanza kukua tena baada ya kunyolewa kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini nywele zake zikaanza kuota tena nyuma ya kunyolewa.