Judges 16:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu walipomwona Samsoni wakamsifu mungu wao na kusema, “Mungu wetu amemtia mikononi mwetu adui yetu ambaye amekuwa akiharibu nchi yetu na kuwaua wengi wetu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu walipomwona Samsoni wakamsifu mungu wao, wakisema: “Sasa mungu wetu amemtia adui yetu mikononi mwetu, yule aliyeharibu nchi yetu na kuwaua watu wengi miongoni mwetu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hao watu walipomwona wakamhimidi mungu wao, maana walisema, Mungu wetu amemtia mikononi mwetu huyu adui wetu, aliyeiharibu nchi yetu na kuwaua watu wengi miongoni mwetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu walipomwona Samsoni wakamsifu mungu wao na kusema, “Mungu wetu amemtia mikononi mwetu adui yetu ambaye amekuwa akiharibu nchi yetu na kuwaua wengi wetu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu walipomwona Samsoni wakamsifu mungu wao wakisema: “Sasa mungu wetu amemtia adui yetu mikononi mwetu, yule aliyeharibu nchi yetu na kuwaua watu wengi miongoni mwetu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu walipomwona Samsoni wakamsifu mungu wao, wakisema: “Sasa mungu wetu amemtia adui yetu mikononi mwetu, yule aliyeharibu nchi yetu na kuwaua watu wengi miongoni mwetu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hao watu walipomwona wakamhimidi mungu wao, maana walisema, mungu wetu amemtia mikononi mwetu huyu adui wetu, aliyeiharibu nchi yetu na kuwaua watu wengi miongoni mwetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu walipomwona Samsoni wakamsifu mungu wao na kusema, “Mungu wetu amemtia mikononi mwetu adui yetu ambaye amekuwa akiharibu nchi yetu na kuwaua wengi wetu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu walipomwona wakamsifu mungu wao, kwani walisema: Mungu wetu ametupa adui yetu mikononi mwetu, ndiye aliyeiangamiza nchi yetu kwa kuua watu wengi wa kwetu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hao watu walipomwona wakamhimidi mungu wao, maana walisema, Mungu wetu amemtia mikononi mwetu huyu adui wetu, aliyeiharibu nchi yetu na kuwaua watu wengi miongoni mwetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu walipomwona Samusoni wakamusifu mungu wao na kusema: “Mungu wetu amemutia adui yetu katika mikono yetu ambaye alikuwa akiharibu inchi yetu na kuwaua wengi kati yetu.”