Judges 16:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Samsoni akamwambia kijana aliyekuwa anamwongoza, “Niruhusu nizipapase nguzo zinazotegemeza jumba hili ili nami niziegemee.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Samsoni akamwambia mtumishi aliyeushika mkono wake, “Niweke mahali ambapo ninaweza kuzigusa nguzo ambazo zinategemeza jengo ili nipate kuziegemea.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Samsoni akamwambia yule kijana aliyemshika mkono, Niache nizipapase nguzo ambazo nyumba hii inazikalia, nipate kuzitegemea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Samsoni akamwambia kijana aliyekuwa anamwongoza, “Niruhusu nizipapase nguzo zinazotegemeza jumba hili ili nami niziegemee.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Samsoni akamwambia mtumishi aliyeshika mkono wake, “Niweke mahali ambapo ninaweza kuzigusa nguzo ambazo zinategemeza jengo ili nipate kuziegemea.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Samsoni akamwambia mtumishi aliyeshika mkono wake, “Niweke mahali ambapo ninaweza kuzigusa nguzo ambazo zinategemeza jengo ili nipate kuziegemea.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Samsoni akamwambia yule kijana aliyemshika mkono, Niache nizipapase nguzo ambazo nyumba hii inazikalia, nipate kuzitegemea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Samsoni akamwambia kijana aliyekuwa anamwongoza, “Niruhusu nizipapase nguzo zinazotegemeza jumba hili ili nami niziegemee.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Samusoni akamwambia kijana aliyemshika mkono: Niachie, nizipapase hizi nguzo zinazoishikiza nyumba hii, niziegemee!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Samsoni akamwambia yule kijana aliyemshika mkono, Niache nizipapase nguzo ambazo nyumba hii inazikalia, nipate kuzitegemea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Samusoni akamwambia kijana aliyekuwa anamwongoza: “Uniruhusu nizipapase nguzo zinazotegemeza chumba hiki kusudi nami niziegemee.”