Judges 16:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Samsoni akazishika nguzo mbili za katikati ambazo zilitegemeza uzito wote wa jumba hilo, mkono mmoja nguzo hii na mkono mwingine nguzo ya pili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Samsoni akazikaribia zile nguzo mbili za katikati zilizokuwa zimelisimamisha lile jengo. Akazishika moja kwa mkono wa kuume, na nyingine kwa mkono wa kushoto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Samsoni akazishika nguzo mbili za katikati ambazo nyumba ile ilikaa juu yake, akazitegemea, moja kwa mkono wake wa kuume na moja kwa mkono wake wa kushoto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Samsoni akazishika nguzo mbili za katikati ambazo zilitegemeza uzito wote wa jumba hilo, mkono mmoja nguzo hii na mkono mwingine nguzo ya pili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Samsoni akazikaribia zile nguzo mbili za katikati ambazo lile jengo lilikuwa linazitegemea. Akazishika moja kwa mkono wa kuume na nyingine mkono wa kushoto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Samsoni akazikaribia zile nguzo mbili za katikati ambazo lile jengo lilikuwa linazitegemea. Akazishika moja kwa mkono wa kuume na nyingine mkono wa kushoto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Samsoni akazishika nguzo mbili za katikati ambazo nyumba ile ilikaa juu yake, akaziegemea, moja kwa mkono wake wa kulia na moja kwa mkono wake wa kushoto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Samsoni akazishika nguzo mbili za katikati ambazo zilitegemeza uzito wote wa jumba hilo, mkono mmoja nguzo hii na mkono mwingine nguzo ya pili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Samusoni akazikamata hizo nguzo mbili za katikati zilizoishikiza hiyo nyumba, akaziegemea moja kwa mkono wa kuume, moja kwa mkono wa kushoto.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Samsoni akazishika nguzo mbili za katikati ambazo nyumba ile ilikaa juu yake, akazitegemea, moja kwa mkono wake wa kuume na moja kwa mkono wake wa kushoto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Samusoni akazishika nguzo mbili za katikati ambazo zilitegemeza uzito wote wa nyumba ile, mukono mumoja nguzo hii na mukono mwingine nguzo ya pili.