Judges 16:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Delila akamwambia Samsoni, “Tafadhali, niambie asili ya nguvu zako, na jinsi gani mtu anaweza kukushinda na kukufunga.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Delila akamwambia Samsoni, “Naomba uniambie siri ya hizi nguvu zako nyingi, na jinsi unavyoweza kufungwa ili kukutiisha.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Delila akamwambia Samsoni, Tafadhali uniambie asili ya nguvu zako nyingi, na jinsi uwezavyo kufungwa, ili uteswe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Delila akamwambia Samsoni, “Tafadhali, niambie asili ya nguvu zako, na jinsi gani mtu anaweza kukushinda na kukufunga.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Delila akamwambia Samsoni, “Naomba niambie siri ya hizi nguvu zako nyingi na jinsi utakavyoweza kufungwa ili kukutiisha.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Delila akamwambia Samsoni, “Naomba niambie siri ya hizi nguvu zako nyingi na jinsi utakavyoweza kufungwa ili kukutiisha.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Delila akamwambia Samsoni, Tafadhali niambie asili ya nguvu zako nyingi, na jinsi uwezavyo kufungwa, ili uteswe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Delila akamwambia Samsoni, “Tafadhali, niambie asili ya nguvu zako, na jinsi gani mtu anaweza kukushinda na kukufunga.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Delila alipomwambia Samusoni: Nijulishe, nguvu zako kubwa zilimo, tena ndivyo ufungwe navyo, watu wakushinde!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Delila akamwambia Samsoni, Tafadhali uniambie asili ya nguvu zako nyingi, na jinsi uwezavyo kufungwa, ili uteswe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Delila akamwambia Samusoni: “Tafazali, uniambie asili ya nguvu zako, na jinsi gani mutu anaweza kukushinda na kukufunga.”