Judges 16:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Samsoni akamjibu, “Wakinifunga kwa kamba saba mbichi za upinde, nitakuwa dhaifu kama mtu yeyote.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Samsoni akamjibu, “Kama nikifungwa kwa kamba saba za upinde ambazo hazijakauka, hapo ndipo nitakapokuwa dhaifu kama mtu mwingine yeyote.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Samsoni akamwambia, Wakinifunga kwa kamba mbichi saba ambazo hazijakauka bado, hapo ndipo nitakuwa dhaifu, nitakuwa kama wanadamu wenzangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Samsoni akamjibu, “Wakinifunga kwa kamba saba mbichi za upinde, nitakuwa dhaifu kama mtu yeyote.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Samsoni akamjibu, “Kama wakinifunga kwa kamba saba za upindi ambazo hazijakauka bado, hapo ndipo nitakapokuwa dhaifu kama mtu mwingine ye yote.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Samsoni akamjibu, “Kama wakinifunga kwa kamba saba za upinde ambazo hazijakauka bado, hapo ndipo nitakapokuwa dhaifu kama mtu mwingine yeyote.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Samsoni akamwambia, Wakinifunga kwa kamba mbichi saba ambazo hazijakauka bado, hapo ndipo nitakuwa dhaifu, nitakuwa kama wanadamu wenzangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Samsoni akamjibu, “Wakinifunga kwa kamba saba mbichi za upinde, nitakuwa dhaifu kama mtu yeyote.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Samusoni akamwambia: Kama wangenifunga kamba saba za mishipa zisizokauka bado, ningekuwa mnyonge kuwa kama kila mtu mwingine.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Samsoni akamwambia, Wakinifunga kwa kamba mbichi saba ambazo hazijakauka bado, hapo ndipo nitakuwa dhaifu, nitakuwa kama wanadamu wenzangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Samusoni akamujibu: “Wakinifunga kwa kamba saba mbichi za upinde, nitakuwa zaifu kama mutu yeyote.”