Judges 16:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakuu wa Wafilisti wakamletea Delila kamba hizo saba mbichi za upinde, naye akamfunga Samsoni kwa kamba hizo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi viongozi wa Wafilisti wakamletea yule mwanamke kamba saba za upinde ambazo hazijakauka, naye akamfunga Samsoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo wakuu wa Wafilisti wakamletea kamba mbichi saba zisizokauka, naye akamfunga nazo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakuu wa Wafilisti wakamletea Delila kamba hizo saba mbichi za upinde, naye akamfunga Samsoni kwa kamba hizo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Viongozi wa Wafilisti wakamletea yule mwanamke kamba saba za upindi ambazo hazijakauka bado, akamfunga nazo Samsoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Viongozi wa Wafilisti wakamletea yule mwanamke kamba saba za upinde ambazo hazijakauka bado, akamfunga nazo Samsoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo wakuu wa Wafilisti wakamletea kamba mbichi saba zisizokauka, naye akamfunga nazo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakuu wa Wafilisti wakamletea Delila kamba hizo saba mbichi za upinde, naye akamfunga Samsoni kwa kamba hizo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wakuu wa Wafilisti wakampelekea kamba saba za mishipa zisizokauka bado, naye akamfunga nazo,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo wakuu wa Wafilisti wakamletea kamba mbichi saba zisizokauka, naye akamfunga nazo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakubwa wa Wafilistini wakamuletea Delila kamba hizo saba mbichi za upinde, naye akamufunga Samusoni kwa kamba hizo.