Judges 17:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mika akamwambia, “Kaa pamoja nami, uwe kwangu kama baba na kuhani wangu. Nitakulipa vipande kumi vya fedha kila mwaka na mavazi pamoja na mahitaji yako.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Mika akamwambia, “Ishi pamoja nami, uwe baba yangu na kuhani wangu, nami nitakupa shekeli kumi za fedha kila mwaka, pamoja na nguo na chakula.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mika akamwambia, kaa pamoja nami, uwe kwangu baba, tena kuhani, nami nitakupa fedha kumi mwaka kwa mwaka, na nguo ya kuvaa, na vyakula. Basi huyo Mlawi akaingia ndani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mika akamwambia, “Kaa pamoja nami, uwe kwangu kama baba na kuhani wangu. Nitakulipa vipande kumi vya fedha kila mwaka na mavazi pamoja na mahitaji yako.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Mika akamwambia, “Ishi pamoja nami, uwe baba yangu na kuhani wangu, nami nitakupa shekeli kumi za fedha, nguo na chakula.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Mika akamwambia, “Ishi pamoja nami, uwe baba yangu na kuhani wangu, nami nitakupa shekeli kumi za fedha, nguo na chakula.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mika akamwambia, kaa pamoja nami, uwe kwangu baba, tena kuhani, nami nitakupa fedha kumi kila mwaka, na nguo ya kuvaa, na vyakula. Basi huyo Mlawi akaingia ndani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mika akamwambia, “Kaa pamoja nami, uwe kwangu kama baba na kuhani wangu. Nitakulipa vipande kumi vya fedha kila mwaka na mavazi pamoja na mahitaji yako.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mika akamwambia: Kaa kwangu, uniwie baba na mtambikaji! Nami nitakupa fedha kumi mwaka kwa mwaka, hata nguo za kuvaa na vyakula vya kukutunza nitakupatia. Huyu Mlawi kwanza alitaka kwenda zake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mika akamwambia, kaa pamoja nami, uwe kwangu baba, tena kuhani, nami nitakupa fedha kumi mwaka kwa mwaka, na nguo ya kuvaa, na vyakula. Basi huyo Mlawi akaingia ndani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mika akamwambia: “Kaa pamoja nami, ukuwe kwangu kama baba na kuhani wangu. Nitakulipa vikoroti kumi vya feza kila mwaka na nguo pamoja na mahitaji yako.”