Judges 17:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huyo Mlawi akaingia akakubali, akakaa huko na kuwa kama mmoja wa wana wa Mika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo yule Mlawi akakubali kuishi pamoja na Mika, naye akawa kama mmoja wa wanawe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huyo Mlawi aliridhika kukaa na mtu huyo; kisha huyo hirimu akawa kwake kama wanawe mmojawapo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huyo Mlawi akaingia akakubali, akakaa huko na kuwa kama mmoja wa wana wa Mika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo yule Mlawi akakubali kuishi pamoja naye, naye huyo kijana akawa kwake kama mmoja wa wanawe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo yule Mlawi akakubali kuishi pamoja naye, naye huyo kijana akawa kwake kama mmoja wa wanawe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huyo Mlawi aliridhika kukaa na mtu huyo; kisha huyo kijana akawa kwake kama wanawe mmojawapo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huyo Mlawi akaingia akakubali, akakaa huko na kuwa kama mmoja wa wana wa Mika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
halafu ikampendeza huyu Mlawi kukaa kwa huyu mtu, kisha huyu kijana akawa kwake kama mwanawe mmoja.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huyo Mlawi aliridhika kukaa na mtu huyo; kisha huyo hirimu akawa kwake kama wanawe mmojawapo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule Mulawi akakubali, akakaa kule na kuwa kama mumoja wa wana wa Mika.