Judges 17:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Mika akamfanya kijana huyo Mlawi kuwa kuhani wake huko nyumbani kwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Mika akamweka wakfu huyo kijana Mlawi, naye huyo akawa kuhani wake na kuishi nyumbani mwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Mika akamweka wakfu huyo Mlawi, huyo hirimu, naye akawa kuhani wake, akakaa nyumbani mwa Mika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Mika akamfanya kijana huyo Mlawi kuwa kuhani wake huko nyumbani kwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Mika akamweka wakfu huyo kijana Mlawi, naye huyo akawa kuhani wake na kuishi nyumbani mwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Mika akamweka wakfu huyo kijana Mlawi, naye huyo akawa kuhani wake na kuishi nyumbani mwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Mika akamweka wakfu huyo Mlawi, huyo kijana, naye akawa kuhani wake, akakaa nyumbani mwa Mika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Mika akamfanya kijana huyo Mlawi kuwa kuhani wake huko nyumbani kwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mika akamjaza gao huyu Mlawi, ndipo, huyu kijana alipokuwa mtambikiaji wake, akakaa nyumbani mwa Mika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Mika akamweka wakfu huyo Mlawi, huyo hirimu, naye akawa kuhani wake, akakaa nyumbani mwa Mika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Mika akamufanya kijana huyo Mulawi kuwa kuhani wake kule katika nyumba yake.