Judges 17:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha akasema, “Sasa najua kwamba Mwenyezi-Mungu atanifanikisha kwani nina kijana huyu Mlawi kama kuhani wangu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mika akasema, “Sasa najua Mwenyezi Mungu atanitendea mema, kwa kuwa Mlawi huyu amekuwa kuhani wangu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Mika akasema, Sasa najua ya kwamba Bwana atanitendea mema, kwa kuwa nina Mlawi kuwa kuhani wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha akasema, “Sasa najua kwamba Mwenyezi-Mungu atanifanikisha kwani nina kijana huyu Mlawi kama kuhani wangu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Mika akasema, “Sasa najua BWANA atanitendea mema, kwa kuwa Mlawi huyu amekuwa kuhani wangu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Mika akasema, “Sasa najua bwana atanitendea mema, kwa kuwa Mlawi huyu amekuwa kuhani wangu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Mika akasema, Sasa ninajua ya kwamba BWANA atanitendea mema, kwa kuwa nina Mlawi kama kuhani wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha akasema, “Sasa najua kwamba Mwenyezi-Mungu atanifanikisha kwani nina kijana huyu Mlawi kama kuhani wangu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Mika akasema: Sasa najua, ya kuwa Bwana atanifanyizia mema, kwa kuwa huyu Mlawi ni mtambikaji wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Mika akasema, Sasa najua ya kwamba BWANA atanitendea mema, kwa kuwa nina Mlawi kuwa kuhani wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akasema: “Sasa ninajua kwamba Yawe atanifanikisha maana nina kijana huyu Mulawi kama kuhani wangu.”