Judges 17:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtu huyo, Mika, alikuwa na mahali pake pa ibada. Alitengeneza kizibao cha kuhani na kinyago, kisha akamfanya mmoja wa watoto wake kuwa kuhani wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Mika alikuwa na mahali pa ibada za sanamu. Akatengeneza kizibau, pamoja na miungu ya nyumbani, na kumweka mmoja wa wanawe kuwa kuhani wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi mtu huyo Mika alikuwa na nyumba ya miungu, naye akafanya naivera, na kinyago, akamweka wakfu mmoja miongoni mwa wanawe, akawa kuhani wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtu huyo, Mika, alikuwa na mahali pake pa ibada. Alitengeneza kizibao cha kuhani na kinyago, kisha akamfanya mmoja wa watoto wake kuwa kuhani wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Mika alikuwa na mahali pa kuabudia miungu, akatengeneza vazi la kikuhani liitwalo naivera na kinyago na kumweka mmoja wa wanawe kuwa kuhani wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Mika alikuwa na mahali pa kuabudia miungu, akatengeneza naivera, pamoja na vinyago, na kumweka mmoja wa wanawe kuwa kuhani wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi mtu huyo Mika alikuwa na nyumba ya miungu, naye akafanya naivera, na kinyago, akamweka wakfu mmoja miongoni mwa wanawe, akawa kuhani wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtu huyo, Mika, alikuwa na mahali pake pa ibada. Alitengeneza kizibao cha kuhani na kinyago, kisha akamfanya mmoja wa watoto wake kuwa kuhani wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, Mika alivyopata nyumba ya mungu, akatengeneza nacho kisibau cha mtambikaji kuwa kinyago cha nyumbani, kisha mmoja wao wanawe Mika akamjaza gao, akawa mtambikaji wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi mtu huyo Mika alikuwa na nyumba ya miungu, naye akafanya naivera, na kinyago, akamweka wakfu mmoja miongoni mwa wanawe, akawa kuhani wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutu huyo, Mika alikuwa na pahali pake pa ibada. Alitengeneza kizibao cha kuhani na sanamu, kisha akamufanya mumoja wa watoto wake kuwa kuhani wake.