Judges 17:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku hizo hapakuwepo na mfalme katika Israeli. Kila mtu alifanya chochote alichoona ni chema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika siku hizo, Waisraeli hawakuwa na mfalme; kila mtu alifanya alivyoona ni vyema machoni pake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku hizo hapakuwa na mfalme katika israeli; kila mtu alifanya hayo aliyoyaona kuwa ni mema machoni pake mwenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku hizo hapakuwepo na mfalme katika Israeli. Kila mtu alifanya chochote alichoona ni chema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika siku hizo Israeli hawakuwa na mfalme, kila mmoja akafanya kama alivyoona vyema machoni pake mwenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika siku hizo Israeli hawakuwa na mfalme, kila mmoja akafanya kama alivyoona vyema machoni pake mwenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku hizo hapakuwa na mfalme katika Israeli; kila mtu alifanya hayo aliyoyaona kuwa ni mema machoni pake mwenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku hizo hapakuwepo na mfalme katika Israeli. Kila mtu alifanya chochote alichoona ni chema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zile hakuwako mfalme kwao Waisiraeli, kwa hiyo kila mtu huyafanya yanyokayo machoni pake yeye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku hizo hapakuwa na mfalme katika israeli; kila mtu alifanya hayo aliyoyaona kuwa ni mema machoni pake mwenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku hizo hakukukuwa mufalme katika Israeli. Kila mutu alifanya chochote alichotaka.