Judges 17:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huo kulikuwa na kijana mmoja Mlawi mjini Bethlehemu nchini Yuda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Palikuwa na kijana Mlawi kutoka Bethlehemu ya Yuda, aliyekuwa akiishi miongoni mwa watu wa kabila la Yuda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alikuwako mtu mmoja hirimu aliyetoka Bethlehemu-yuda, wa jamaa ya Yuda, aliyekuwa ni Mlawi, naye akakaa huko hali ya ugeni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huo kulikuwa na kijana mmoja Mlawi mjini Bethlehemu nchini Yuda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi palikuwa na kijana mmoja wa Bethlehemu ya Yuda. Yeye alikuwa Mlawi aliyeishi miongoni mwa kabila la Yuda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi palikuwa na kijana mmoja wa Bethlehemu ya Yuda. Yeye alikuwa Mlawi aliyeishi miongoni mwa kabila la Yuda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alikuwako kijana mmoja mwanamume aliyetoka Bethlehemu-yuda, wa jamaa ya Yuda, aliyekuwa Mlawi, naye akakaa huko kama mgeni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huo kulikuwa na kijana mmoja Mlawi mjini Bethlehemu nchini Yuda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kulikuwa na kijana wa Beti-Lehemu wa Yuda uliokuwa wa ukoo wa Yuda, naye alikuwa Mlawi, lakini alikuwa mgeni huko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alikuwako mtu mmoja hirimu aliyetoka Bethlehemu-yuda, wa jamaa ya Yuda, aliyekuwa ni Mlawi, naye akakaa huko hali ya ugeni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati ule kulikuwa kijana mumoja Mulawi katika muji wa Betelehemu katika inchi ya Yuda.