Judges 17:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mika akamwuliza, “Umetoka wapi?” Naye akamjibu, “Mimi ni Mlawi, kutoka mjini Bethlehemu nchini Yuda. Nitakaa popote nitakapopata nafasi ya kukaa kama mgeni.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mika akamuuliza, “Wewe umetoka wapi?” Akamjibu, “Mimi ni Mlawi kutoka Bethlehemu ya Yuda, ninatafuta mahali pa kuishi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mika akamwuliza, Watoka wapi wewe? Akamwambia, Mimi ni Mlawi wa Bethlehemu-yuda, nami naenda kukaa hali ya ugeni po pote nitakapoona mahali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mika akamwuliza, “Umetoka wapi?” Naye akamjibu, “Mimi ni Mlawi, kutoka mjini Bethlehemu nchini Yuda. Nitakaa popote nitakapopata nafasi ya kukaa kama mgeni.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mika akamwuliza, “Wewe umetoka wapi?” Akamjibu, “Mimi ni Mlawi kutoka Bethlehemu ya Yuda, ninatafuta mahali pa kuishi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mika akamuuliza, “Wewe umetoka wapi?” Akamjibu, “Mimi ni Mlawi kutoka Bethlehemu ya Yuda, ninatafuta mahali pa kuishi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mika akamuuliza, “Umetoka wapi?” Akamwambia, Mimi ni Mlawi wa Bethlehemu-yuda, nami naenda kukaa popote nitakapoona mahali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mika akamwuliza, “Umetoka wapi?” Naye akamjibu, “Mimi ni Mlawi, kutoka mjini Bethlehemu nchini Yuda. Nitakaa popote nitakapopata nafasi ya kukaa kama mgeni.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mika akamwuliza: Umetoka wapi? Naye akamwambia: Mimi ni Mlawi wa Beti-Lehemu wa Yuda, nimekwenda kukaa ugenini mahali, nitakapopaona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mika akamwuliza, Watoka wapi wewe? Akamwambia, Mimi ni Mlawi wa Bethlehemu-yuda, nami naenda kukaa hali ya ugeni po pote nitakapoona mahali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mika akamwuliza: “Umetoka wapi?” Naye akamujibu: “Mimi ni Mulawi, kutoka katika muji wa Betelehemu katika inchi ya Yuda. Nitakaa popote nitakapopata nafasi ya kukaa kama mugeni.”