Judges 18:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, watu 600 wa kabila la Dani wakiwa na silaha zao za vita wakaondoka kutoka Sora na Eshtaoli
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo wanaume mia sita kutoka ukoo wa Wadani, waliojifunga silaha za vita, wakaondoka Sora na Eshtaoli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wakatoka hapo watu mia sita waliovaa silaha za vita, wa jamaa ya Wadani, kutoka Sora, na kutoka Eshtaoli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, watu 600 wa kabila la Dani wakiwa na silaha zao za vita wakaondoka kutoka Sora na Eshtaoli
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo watu 600 toka ukoo wa Wadani, waliojifunga silaha za vita, wakaondoka Sora na Eshtaoli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo watu 600 toka ukoo wa Wadani, waliojifunga silaha za vita, wakaondoka Sora na Eshtaoli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wakatoka hapo watu mia sita waliovaa silaha za vita, wa jamaa ya Wadani, kutoka Sora, na kutoka Eshtaoli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, watu 600 wa kabila la Dani wakiwa na silaha zao za vita wakaondoka kutoka Sora na Eshtaoli
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, walipoondoka huko Sora na Estaoli watu 600 wa ukoo wa Dani, kila mtu akiwa amejifunga mata ya kupigia vita.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wakatoka hapo watu mia sita waliovaa silaha za vita, wa jamaa ya Wadani, kutoka Sora, na kutoka Eshtaoli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, watu mia sita wa kabila la Dani wakiwa na silaha zao za vita wakaondoka kutoka Zora na Estaoli,