Judges 18:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka huko wakaelekea nchi ya milima ya Efraimu, wakafika nyumbani kwa Mika.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kutoka hapo wakaenda hadi nchi ya vilima ya Efraimu na kufika katika nyumba ya Mika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakapita huko hata hiyo nchi ya vilima vilima ya Efraimu, wakafikilia nyumba ya huyo Mika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka huko wakaelekea nchi ya milima ya Efraimu, wakafika nyumbani kwa Mika.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kutoka hapo wakaendelea mbele mpaka nchi ya vilima ya Efraimu na kufika katika nyumba ya Mika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kutoka hapo wakaendelea mbele mpaka nchi ya vilima ya Efraimu na kufika katika nyumba ya Mika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakapita huko hadi hiyo nchi ya vilima vilima ya Efraimu, wakaifikia nyumba ya huyo Mika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka huko wakaelekea nchi ya milima ya Efraimu, wakafika nyumbani kwa Mika.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipotoka huko na kushika njia ya kweda milimani kwa Efuraimu wakafika kwenye nyumba ya Mika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakapita huko hata hiyo nchi ya vilima vilima ya Efraimu, wakafikilia nyumba ya huyo Mika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka kule wakaelekea inchi ya milima ya Efuraimu, wakafika katika nyumba ya Mika.