Judges 18:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huo, wale watu 600 wa kabila la Dani wakiwa na silaha zao za vita walisimama mlangoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale Wadani mia sita, wakiwa wamejifunga silaha, wakasimama penye ingilio la lango.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hao watu mia sita wenye kuvaa silaha zao za vita, waliokuwa ni wana wa Dani, wakasimama penye maingilio ya lango.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huo, wale watu 600 wa kabila la Dani wakiwa na silaha zao za vita walisimama mlangoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale Wadani 600, waliovaa silaha za vita, wakasimama penye ingilio la lango.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale Wadani 600, waliovaa silaha za vita, wakasimama penye ingilio la lango.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hao watu mia sita wenye kuvaa silaha zao za vita, waliokuwa ni wana wa Dani, wakasimama penye maingilio ya lango.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huo, wale watu 600 wa kabila la Dani wakiwa na silaha zao za vita walisimama mlangoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wale watu 600 waliojifunga mata ya kupigia vita, wale wana wa Dani, walikuwa wamesimama pa kuingia langoni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hao watu mia sita wenye kuvaa silaha zao za vita, waliokuwa ni wana wa Dani, wakasimama penye maingilio ya lango.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati ule, wale watu mia sita wa kabila la Dani wakiwa na silaha zao za vita wakasimama kwenye mulango.