Judges 18:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule kuhani akafurahi sana akachukua kile kifuko, kile kinyago cha ibada, na ile sanamu ya mungu ya kusubu, akafuatana nao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule kuhani akafurahi. Akachukua kile kizibau, ile miungu ya nyumbani, na sanamu ya kuchonga, naye akaenda pamoja na wale watu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huyo kuhani moyo wake ukafurahi, naye akaitwaa hiyo naivera, na kile kinyago, na hiyo sanamu ya kuchonga, akaenda katikati ya hao watu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule kuhani akafurahi sana akachukua kile kifuko, kile kinyago cha ibada, na ile sanamu ya mungu ya kusubu, akafuatana nao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule kuhani akafurahi, akachukua ile naivera, zile sanamu nyingine ndogo za nyumbani, na sanamu ya kuchonga, naye akaenda pamoja na wale watu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule kuhani akafurahi. Akachukua ile naivera, zile sanamu nyingine ndogo za nyumbani, na sanamu ya kuchonga, naye akaenda pamoja na wale watu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huyo kuhani moyo wake ukafurahi, naye akaitwaa hiyo naivera, na kile kinyago, na hiyo sanamu ya kuchonga, akaenda katikati ya hao watu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yule kuhani akafurahi sana akachukua kile kifuko, kile kinyago cha ibada, na ile sanamu ya mungu ya kusubu, akafuatana nao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Moyo wa mtambikaji ukayaona haya kuwa mema; ndipo, alipokichukua kisibau cha mtambikaji pamoja na kile kinyago cha nyumbani, ni kile kinyago cha kuchongwa, akaingia kwa hao watu katikati.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huyo kuhani moyo wake ukafurahi, naye akaitwaa hiyo naivera, na kile kinyago, na hiyo sanamu ya kuchonga, akaenda katikati ya hao watu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule kuhani akafurahi sana akatwaa kile kifuko, ile sanamu ya ibada, na ile sanamu ya mungu yenye kuyeyushwa, akafuatana nao.