Judges 18:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha wakawapigia kelele, nao watu wa kabila la Dani wakageuka, wakamwuliza Mika, “Una shida gani hata umetufuatia pamoja na kundi hili lote?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipofuatilia huku wakipiga kelele, Wadani wakageuka, wakamwambia Mika, “Una nini wewe hata ukawaita watu waje kupigana nasi?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakawapigia kelele wana wa Dani. Nao wakageuza nyuso zao na kumwambia Mika, Una nini wewe, hata ukaja na mkutano namna hii?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha wakawapigia kelele, nao watu wa kabila la Dani wakageuka, wakamwuliza Mika, “Una shida gani hata umetufuatia pamoja na kundi hili lote?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walipofuatilia wakipiga kelele Wadani wakawageukia na kumwambia Mika, “Una nini wewe hata ukaja na kundi la watu namna hii ili kupigana?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipofuatilia wakipiga kelele Wadani wakawageukia na kumwambia Mika, “Una nini wewe hata ukaja na kundi la watu namna hii ili kupigana?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakawapigia kelele wana wa Dani. Nao wakageuza nyuso zao na kumwambia Mika, Una nini wewe, hata ukaja na mkutano namna hii?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha wakawapigia kelele, nao watu wa kabila la Dani wakageuka, wakamwuliza Mika, “Una shida gani hata umetufuatia pamoja na kundi hili lote?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipowaita wana wa Dani, wakazigeuza nyuso zao, wakamwuliza Mika: Una nini, mkikusanyika kwa kuitana?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakawapigia kelele wana wa Dani. Nao wakageuza nyuso zao na kumwambia Mika, Una nini wewe, hata ukaja na mkutano namna hii?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha wakawapigia kelele, nao watu wa kabila la Dani wakageuka, wakamwuliza Mika: “Una shida gani hata umetufuatilia pamoja na kundi hili lote?”