Judges 18:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mika alipoona kwamba wamemzidi nguvu, akageuka, akarudi nyumbani; nao watu wa kabila la Dani wakaenda zao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Wadani wakaenda zao, naye Mika alipoona kuwa wana nguvu kuliko yeye, akageuka na kurudi nyumbani mwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wana wa Dani wakaenda zao; naye Mika alipoona ya kuwa ni wenye nguvu kumshinda yeye, akageuka akarudi nyumbani kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mika alipoona kwamba wamemzidi nguvu, akageuka, akarudi nyumbani; nao watu wa kabila la Dani wakaenda zao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Wadani wakaenda zao, naye Mika alipoona kuwa wana nguvu kuliko yeye, akageuka na kurudi nyumbani kwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Wadani wakaenda zao, naye Mika alipoona kuwa wana nguvu kumliko yeye, akageuka na kurudi nyumbani kwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wana wa Dani wakaenda zao; naye Mika alipoona ya kuwa wanamzidi nguvu, akageuka akarudi nyumbani kwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mika alipoona kwamba wamemzidi nguvu, akageuka, akarudi nyumbani; nao watu wa kabila la Dani wakaenda zao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wana wa Dani wakaenda zao, naye Mika alipoona, ya kuwa wao ni wenye nguvu za kumshinda yeye, akarudi nyumbani kwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wana wa Dani wakaenda zao; naye Mika alipoona ya kuwa ni wenye nguvu kumshinda yeye, akageuka akarudi nyumbani kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mika alipoona kwamba wamemuzidia nguvu, akageuka, akarudi kwake; nao watu wa kabila la Dani wakaenda zao.