Judges 18:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walibadilisha jina la mji huo, wakauita Dani, kufuata jina la babu yao aliyekuwa mwana wa Israeli. Lakini mji huo hapo awali uliitwa Laishi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakauita ule mji Dani kwa kufuata jina la baba yao aliyezaliwa na Israeli, ingawa mji huo uliitwa Laishi hapo awali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakauita mji jina lake Dani, kwa kuliandama jina la baba yao Dani, aliyezaliwa kwake Israeli; lakini jina la mji huo hapo kwanza ulikuwa ukiitwa Laisha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walibadilisha jina la mji huo, wakauita Dani, kufuata jina la babu yao aliyekuwa mwana wa Israeli. Lakini mji huo hapo awali uliitwa Laishi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakauita ule mji Dani kwa kufuata jina la baba yao aliyezaliwa na Israeli, ingawa mji huo ulikuwa ukiitwa Laishi hapo kwanza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakauita ule mji Dani kwa kufuata jina la baba yao aliyezaliwa na Israeli, ingawa mji huo ulikuwa ukiitwa Laishi hapo kwanza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakauita mji jina lake Dani, kwa kulifuata jina la baba yao Dani, aliyezaliwa na Israeli; lakini jina la mji huo hapo awali lilikuwa Laisha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walibadilisha jina la mji huo, wakauita Dani, kufuata jina la babu yao aliyekuwa mwana wa Israeli. Lakini mji huo hapo awali uliitwa Laishi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini jina la mji wakaliita Dani kwa jina la baba yao Dani, Isiraeli aliyemzaa; lakini jina la kwanza la mji lilikuwa Laisi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakauita mji jina lake Dani, kwa kuliandama jina la baba yao Dani, aliyezaliwa kwake Israeli; lakini jina la mji huo hapo kwanza ulikuwa ukiitwa Laisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walibadilisha jina la muji ule, wakauita Dani, kufuata jina la babu yao aliyekuwa mwana wa Israeli. Lakini muji ule pale mbele uliitwa Laisi.