Judges 18:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yeye akawajibu, “Mika amefanya nami mpango; ameniajiri nami nimekuwa kuhani wake.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akawaeleza yale Mika aliyomtendea, akasema, “Ameniajiri, nami ni kuhani wake.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akawaambia, Hivi na hivi ndivyo alivyonifanyia Mika, ameniajiri, nami nimekuwa kuhani wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yeye akawajibu, “Mika amefanya nami mpango; ameniajiri nami nimekuwa kuhani wake.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akawaeleza yale Mika aliyomtendea, naye akasema, “Ameniajiri nami ni kuhani wake.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akawaeleza yale Mika aliyomtendea, naye akasema, “Ameniajiri nami ni kuhani wake.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akawaambia, Hivi na hivi, ndivyo alivyonifanyia Mika, ameniajiri, nami nimekuwa kuhani wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yeye akawajibu, “Mika amefanya nami mpango; ameniajiri nami nimekuwa kuhani wake.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akawaambia: Mika amenifanyizia hivi na hivi, akanipa kazi hii ya mshahara kuwa mtambikaji wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akawaambia, Hivi na hivi ndivyo alivyonifanyia Mika, ameniajiri, nami nimekuwa kuhani wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye akawajibu: “Mika amefanya nami mupango. Amenipa kazi nami nimekuwa kuhani wake.”