Judges 18:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule kuhani akawaambia, “Nendeni kwa amani. Mwenyezi-Mungu anaichunga safari yenu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule kuhani akawajibu, “Nendeni kwa amani. Safari yenu ina kibali cha Mwenyezi Mungu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kuhani akawaambia, Haya endeni na amani; njia mnayoiendea i mbele za Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule kuhani akawaambia, “Nendeni kwa amani. Mwenyezi-Mungu anaichunga safari yenu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule kuhani akawajibu, “Enendeni kwa amani. Safari yenu ina kibali cha BWANA.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule kuhani akawajibu, “Enendeni kwa amani. Safari yenu ina kibali cha bwana.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kuhani akawaambia, Haya nendeni na amani; njia mnayoiendea iko mbele za BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yule kuhani akawaambia, “Nendeni kwa amani. Mwenyezi-Mungu anaichunga safari yenu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtambikaji akawaambia: Nendeni na kutengemana! Njia yenu, mnayoishika, Bwana anaiona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kuhani akawaambia, Haya endeni na amani; njia mnayoiendea i mbele za BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule kuhani akawaambia: “Muende kwa amani. Yawe anaichunga safari yenu.”