Judges 18:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wao wakasema, “Inukeni twende na kuishambulia nchi hiyo. Tumeiona nchi hiyo, na kweli ni nchi yenye rutuba. Je, mtakaa hapa tu bila kufanya kitu? Msikawie kwenda kuimiliki nchi hiyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakajibu, “Twendeni, tukawavamie! Tumeona kuwa nchi ni nzuri sana. Je, hamtafanya chochote? Msisite kupanda ili kuimiliki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakasema, Haya, inukeni, twende tukapigane nao; kwa maana tumeiona hiyo nchi nayo ni nchi nzuri sana; nanyi, je! Mwanyamaa tu? Msiwe wavivu kwenda, na kuingia, ili mpate kuimiliki nchi hiyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wao wakasema, “Inukeni twende na kuishambulia nchi hiyo. Tumeiona nchi hiyo, na kweli ni nchi yenye rutuba. Je, mtakaa hapa tu bila kufanya kitu? Msikawie kwenda kuimiliki nchi hiyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakajibu, “Twendeni, tukapigane nao! Tumeona kuwa nchi ni nzuri sana. Je, hamtafanya cho chote? Msisite kupanda ili kuimiliki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakajibu, “Twendeni, tukapigane nao! Tumeona kuwa nchi ni nzuri sana. Je, hamtafanya chochote? Msisite kupanda ili kuimiliki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakasema, Haya, inukeni, twende tukapigane nao; kwa maana tumeiona hiyo nchi nayo ni nchi nzuri sana; nanyi, je! Hamtafanya chochote? Msiwe wavivu kwenda, na kuingia, ili mpate kuimiliki nchi hiyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wao wakasema, “Inukeni twende na kuishambulia nchi hiyo. Tumeiona nchi hiyo, na kweli ni nchi yenye rutuba. Je, mtakaa hapa tu bila kufanya kitu? Msikawie kwenda kuimiliki nchi hiyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakawaambia: Ondokeni, twende kupanda kwao hao! Kwani tulipoitazama hiyo nchi, tumeiona kuwa njema sana. Nanyi mnanyamaza tu! Msikawilie kwenda na kuiingia hiyo nchi, iwe yenu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakasema, Haya, inukeni, twende tukapigane nao; kwa maana tumeiona hiyo nchi nayo ni nchi nzuri sana; nanyi, je! Mwanyamaa tu? Msiwe wavivu kwenda, na kuingia, ili mpate kuimiliki nchi hiyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wao wakasema: “Musimame tuende na kuishambulia inchi hiyo. Tumeiona na kweli ni inchi yenye mboleo. Mutakaa hapa tu bila kufanya kitu? Musikawie kwenda kuirizi inchi hiyo.