Judges 19:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Twende tukaribie sehemu hizo na kulala huko Gibea au Rama.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tena akasema, “Haya, tujitahidi tufike Gibea au Rama, nasi tutalala katika mji huo.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akamwambia mtumishi wake, Haya, tuifikilie miji hii mmojawapo nasi tutalala katika Gibea au katika Rama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Twende tukaribie sehemu hizo na kulala huko Gibea au Rama.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akasema, “Haya, tujitahidi tufike Gibea au Rama, nasi tutalala katika mji mmojawapo.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akasema, “Haya, tujitahidi tufike Gibea au Rama, nasi tutalala katika mji mmojawapo.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akamwambia mtumishi wake, Haya, tuifikie miji hii mmojawapo nasi tutalala katika Gibea au katika Rama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Twende tukaribie sehemu hizo na kulala huko Gibea au Rama.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akamwambia mtumishi wake: Twende kufika katika mji mmoja wa hapa mbele, tulale Gibea au Rama.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akamwambia mtumishi wake, Haya, tuifikilie miji hii mmojawapo nasi tutalala katika Gibea au katika Rama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tuende tukaribie sehemu hizo na kulala kule Gibea au Rama.”