Judges 19:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wakaendelea na safari yao mpaka jua likatua wakiwa karibu na mji wa Gibea ambao ni mji wa kabila la Benyamini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo wakaendelea na safari, nalo jua likazama walipokaribia Gibea ya Benyamini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wakashika njia kwenda zao mbele; jua likawachwea walipokuwa karibu na Gibea, ambao ni mji wa Benyamini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wakaendelea na safari yao mpaka jua likatua wakiwa karibu na mji wa Gibea ambao ni mji wa kabila la Benyamini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo wakaendelea na safari, jua likachwea walipokaribia Gibea ambao ni mji wa Benyamini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo wakaendelea na safari, jua likachwea walipokaribia Gibea ambao ni mji wa Benyamini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wakashika njia na kuendelea; jua likawachwea walipokuwa karibu na Gibea, ambao ni mji wa Benyamini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wakaendelea na safari yao mpaka jua likatua wakiwa karibu na mji wa Gibea ambao ni mji wa kabila la Benyamini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakashika njia kwendelea kwenda, nalo jua likawachwea, walipokuwa karibu ya Gibea wa Benyamini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wakashika njia kwenda zao mbele; jua likawachwea walipokuwa karibu na Gibea, ambao ni mji wa Benyamini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, wakaendelea na safari yao mpaka jua likatua wakiwa karibu na muji wa Gibea ambao ni muji wa kabila la Benjamina.