Judges 19:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakaingia mjini wapate kulala humo usiku. Walipoingia mjini wakaenda kukaa kwenye uwanja wa wazi wa mji, kwani hakuna mtu aliyewakaribisha nyumbani kwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakageuka ili kuingia na kulala Gibea. Wakaingia humo, wakaketi kwenye uwanja wa mji, wala hakuna mtu yeyote aliyewakaribisha kwake ili wapate kulala.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakageuka huko, wapate kuingia na kulala katika Gibea; akaingia ndani, akaketi katika njia kuu ya mji; kwa kuwa hapakuwa na mtu awaye yote aliyewakaribisha nyumbani kwake kulala.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakaingia mjini wapate kulala humo usiku. Walipoingia mjini wakaenda kukaa kwenye uwanja wa wazi wa mji, kwani hakuna mtu aliyewakaribisha nyumbani kwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakageuka ili kuingia na kulala Gibea. Wakaingia humo, wakaketi kwenye uwanja wa mji, wala hakuna mtu ye yote aliyewakaribisha kwake ili wapate kulala.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakageuka ili kuingia na kulala Gibea. Wakaingia humo, wakaketi kwenye uwanja wa mji, wala hakuna mtu yeyote aliyewakaribisha kwake ili wapate kulala.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakageuka huko, wapate kuingia na kulala katika Gibea; akaingia ndani, akaketi katika eneo la mji lililokuwa wazi; kwa kuwa hapakuwa na mtu yeyote aliyewakaribisha nyumbani kwake kulala.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakaingia mjini wapate kulala humo usiku. Walipoingia mjini wakaenda kukaa kwenye uwanja wa wazi wa mji, kwani hakuna mtu aliyewakaribisha nyumbani kwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakafika huko na kuingia mle Gibea, wapate mahali pa kulala. Walipokwisha kuingia na kukaa katika uwanja wa mji, hakuna mtu aliyewakaribisha nyumbani, wapate kulala.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakageuka huko, wapate kuingia na kulala katika Gibea; akaingia ndani, akaketi katika njia kuu ya mji; kwa kuwa hapakuwa na mtu awaye yote aliyewakaribisha nyumbani kwake kulala.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakaingia ndani ya muji wapate kulala mule usiku. Walipoingia katika muji, wakaenda kukaa kwenye kiwanja cha makutano cha muji, maana hakuna mutu aliyewakaribisha ndani ya nyumba yake.