Judges 19:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mzee huyo alipotazama na kumwona huyo msafiri akiwa huko uwanjani, alimwuliza, “Umetoka wapi na unakwenda wapi?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alipotazama na kuwaona hao wasafiri katika uwanja wa mji, yule mzee akawauliza, “Ninyi mnaenda wapi? Nanyi mmetoka wapi?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye alipovua macho yake, akamwona huyo mtu msafiri katika njia kuu ya mji; huyo mzee akamwuliza, Waenda wapi wewe? Nawe watoka wapi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mzee huyo alipotazama na kumwona huyo msafiri akiwa huko uwanjani, alimwuliza, “Umetoka wapi na unakwenda wapi?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alipotazama na kuwaona hao wasafiri katika uwanja wa mji, yula mzee akawauliza, “Ninyi mnakwenda wapi? Nanyi mmetoka wapi?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alipotazama na kuwaona hao wasafiri katika uwanja wa mji, yule mzee akawauliza, “Ninyi mnakwenda wapi? Nanyi mmetoka wapi?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye alipotazama, akamwona huyo mtu msafiri katika eneo la mji lililokuwa wazi; huyo mzee akamwuliza, Unaenda wapi na umetoka wapi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mzee huyo alipotazama na kumwona huyo msafiri akiwa huko uwanjani, alimwuliza, “Umetoka wapi na unakwenda wapi?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipoyainua macho yake akamwona yule mpitaji katika uwanja wa mji; ndipo, yule mzee alipomwuliza: Unakwenda wapi? Tena umetoka wapi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye alipovua macho yake, akamwona huyo mtu msafiri katika njia kuu ya mji; huyo mzee akamwuliza, Waenda wapi wewe? Nawe watoka wapi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muzee yule alipoangalia na kumwona yule musafiri akiwa kule katika kiwanja, akamwuliza: “Umetoka wapi na unakwenda wapi?”