Judges 19:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini suria huyo akamkasirikia; huyo Mlawi, akamwacha na kurudi nyumbani kwa baba yake huko Bethlehemu, akakaa kwa muda wa miezi minne.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini suria wake akafanya ukahaba, akamwacha na kurudi nyumbani mwa baba yake huko Bethlehemu ya Yuda. Baada ya kukaa huko kwa muda wa miezi minne,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha huyo suria yake akaandama ukahaba kinyume chake, kumwacha kwenda nyumbani kwa baba yake huko Bethlehemu-yuda, akakaa kuko muda wa miezi minne.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini suria huyo akamkasirikia; huyo Mlawi, akamwacha na kurudi nyumbani kwa baba yake huko Bethlehemu, akakaa kwa muda wa miezi minne.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini suria wake akafanya ukahaba dhidi yake, naye akamwacha akarudi nyumbani kwa baba yake huko Bethlehemu ya Yuda. Baada ya kukaa huko kwa muda wa miezi minne,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini suria wake akafanya ukahaba dhidi yake, naye akamwacha akarudi nyumbani kwa baba yake huko Bethlehemu ya Yuda. Baada ya kukaa huko kwa muda wa miezi minne,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha huyo suria wake akamkasirikia, akamwacha kwenda nyumbani kwa baba yake huko Bethlehemu-yuda, akakaa huko muda wa miezi minne.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini suria huyo akamkasirikia; huyo Mlawi, akamwacha na kurudi nyumbani kwa baba yake huko Bethlehemu, akakaa kwa muda wa miezi minne.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini huyu suria akamfanyizia matata, akaondoka kwake kwenda nyumbani mwa baba yake huko Beti-Lehemu wa Yuda, akawa huko miezi minne.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha huyo suria yake akaandama ukahaba kinyume chake, kumwacha kwenda nyumbani kwa baba yake huko Bethlehemu-yuda, akakaa kuko muda wa miezi minne.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini habara yule akamukasirikia yule Mulawi, akamwacha na kurudi katika nyumba ya baba yake kule Betelehemu, akakaa kwa muda wa miezi mine.