Judges 19:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo akawapeleka nyumbani kwake na kuwapa punda wao malisho. Hao wasafiri wakanawa miguu yao, wakala na kunywa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo akamwingiza nyumbani mwake na kuwalisha punda wake. Baada ya kunawa miguu yao, wakala na kunywa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi akamtia ndani ya nyumba yake, akawapa punda chakula; nao wakaosha miguu, wakala na kunywa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo akawapeleka nyumbani kwake na kuwapa punda wao malisho. Hao wasafiri wakanawa miguu yao, wakala na kunywa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo akamwingiza nyumbani mwake na kuwalisha punda wake. Baada ya kunawa miguu yao, wakala na kunywa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo akamwingiza nyumbani mwake na kuwalisha punda wake. Baada ya kunawa miguu yao, wakala na kunywa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi akamkaribisha ndani ya nyumba yake, akawapa punda chakula; nao wakaosha miguu, wakala na kunywa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo akawapeleka nyumbani kwake na kuwapa punda wao malisho. Hao wasafiri wakanawa miguu yao, wakala na kunywa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamwingiza nyumbani mwake, hata punda akawapa ya kula. Kisha wakaiosha miguu yao, wakala, wakanywa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi akamtia ndani ya nyumba yake, akawapa punda chakula; nao wakaosha miguu, wakala na kunywa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo akawapeleka katika nyumba yake na kuwapa punda wao malisho. Hao wasafiri wakanawa miguu yao, wakakula na kunywa.