Judges 19:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini huyo mzee mwenye nyumba akatoka nje, akawaambia “Sivyo ndugu zangu; nawasihi msitende uovu huo. Huyu ni mgeni wangu, hivyo msimtendee ubaya huo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule mwenye nyumba akatoka nje na kuwaambia, “Hapana, ndugu zangu, msiwe waovu namna hii, ninawasihi. Kwa kuwa huyu mwanaume ni mgeni wangu, msifanye jambo hili la aibu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye mtu mwenye nyumba akawatokea hapo nje, na kuwaambia, La, sivyo, ndugu zangu nawasihi msifanye uovu jinsi hii; kwa kuwa mtu huyu ameingia ndani ya nyumba yangu, msifanye upumbavu huu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini huyo mzee mwenye nyumba akatoka nje, akawaambia “Sivyo ndugu zangu; nawasihi msitende uovu huo. Huyu ni mgeni wangu, hivyo msimtendee ubaya huo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule mwenye nyumba akatoka nje na kuwaambia, “Hapana, ndugu zangu msiwe waovu namna hii, ninawasihi. Kwa kuwa huyu mtu ni mgeni wangu msifanye jambo hili la aibu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule mwenye nyumba akatoka nje na kuwaambia, “Hapana, ndugu zangu msiwe waovu namna hii, ninawasihi. Kwa kuwa huyu mtu ni mgeni wangu msifanye jambo hili la aibu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye mwenye nyumba akawatokea hapo nje, na kuwaambia, La, sivyo, ndugu zangu nawasihi msifanye uovu jinsi hii; kwa kuwa mtu huyu ameingia ndani ya nyumba yangu, msifanye upumbavu huu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini huyo mzee mwenye nyumba akatoka nje, akawaambia “Sivyo ndugu zangu; nawasihi msitende uovu huo. Huyu ni mgeni wangu, hivyo msimtendee ubaya huo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, mwenye nyumba alipotokea kwao, akawaambia: Ndugu zangu, hivi sivyo! Msifanye mabaya! Kwa kuwa mtu huyu ameingia nyumbani mwangu, msifanye upumbavu kama huu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye mtu mwenye nyumba akawatokea hapo nje, na kuwaambia, La, sivyo, ndugu zangu nawasihi msifanye uovu jinsi hii; kwa kuwa mtu huyu ameingia ndani ya nyumba yangu, msifanye upumbavu huu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini yule muzee mwenye nyumba akatoka inje, akawaambia: “Sivyo wandugu zangu. Ninawasihi musitende uovu ule. Huyu ni mugeni wangu. Musimutendee ubaya ule.