Judges 19:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ninaye bado binti yangu ambaye ni bikira na yupo pia yule suria wa mgeni wangu. Niruhusuni niwatoe nje, muwachukue na kuwatendea kama mnavyotamani; lakini mtu huyu msimtendee jambo hilo la kipumbavu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tazameni, hapa yupo binti yangu ambaye ni bikira, na suria wa mtu huyu. Nitawatoleeni hawa sasa, mkawatwae kwa nguvu na kuwafanyia lolote mtakalo. Lakini kwa mwanaume huyu msimfanyie jambo ovu hivyo.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, binti yangu yupo hapa, ni mwanamwali, na suria wake huyo mtu; nitawaleta hapa nje sasa nanyi watwezeni, na kuwatenda hayo myaonayo kuwa ni mema; lakini mtu huyu msimtende jambo la upumbavu namna hii.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ninaye bado binti yangu ambaye ni bikira na yupo pia yule suria wa mgeni wangu. Niruhusuni niwatoe nje, muwachukue na kuwatendea kama mnavyotamani; lakini mtu huyu msimtendee jambo hilo la kipumbavu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tazameni, hapa yupo binti yangu ambaye ni bikira na suria wa huyu mtu. Nitawatoleeni hawa kwenu sasa, mkawatwae kwa nguvu na kuwafanyia lo lote mtakalo, lakini kwa mtu huyu msimfanyie jambo ovu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tazameni, hapa yupo binti yangu ambaye ni bikira na suria wa huyu mtu. Nitawatoleeni hawa sasa, mkawatwae kwa nguvu na kuwafanyia lolote mtakalo. Lakini kwa mtu huyu msimfanyie jambo ovu hivyo.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, binti yangu yupo hapa, ni mwanamwali, na suria wake huyo mtu; nitawaleta hapa nje sasa nanyi watwezeni, na kuwatenda hayo myaonayo kuwa ni mema; lakini mtu huyu msimtende jambo la upumbavu namna hii.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ninaye bado binti yangu ambaye ni bikira na yupo pia yule suria wa mgeni wangu. Niruhusuni niwatoe nje, muwachukue na kuwatendea kama mnavyotamani; lakini mtu huyu msimtendee jambo hilo la kipumbavu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tazameni, yuko mwanangu wa kike, ni mwanamwali, tena yuko suria yake; hawa nitawatoa kwenu, mwakorofishe na kuwatendea yote, mtakayoyaona kuwa mema, lakini mtu huyu msimfanyizie upumbavu kama huu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, binti yangu yupo hapa, ni mwanamwali, na suria wake huyo mtu; nitawaleta hapa nje sasa nanyi watwezeni, na kuwatenda hayo myaonayo kuwa ni mema; lakini mtu huyu msimtende jambo la upumbavu namna hii.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ningali na binti yangu ambaye ni bikira na kuna vilevile yule habara wa mugeni wangu. Muniruhusu niwatoshe inje, muwakamate na kuwatendea kama munavyotamani, lakini mutu huyu musimutendee jambo hilo la kipumbafu.”