Judges 19:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Asubuhi, yule mwanamke akaja mpaka mlangoni mwa nyumba alimokuwa bwana wake, akaanguka chini hapo mlangoni na kukaa hapo mpaka kulipopambazuka kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alfajiri yule mwanamke akarudi kwenye ile nyumba bwana wake alikokuwa, akaanguka chini mlangoni, akalala pale hata kulipopambazuka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo huyo mwanamke akaja alfajiri, akaanguka chini mlangoni pa nyumba ya mtu yule alimokuwamo bwana wake, hata kulipokucha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Asubuhi, yule mwanamke akaja mpaka mlangoni mwa nyumba alimokuwa bwana wake, akaanguka chini hapo mlangoni na kukaa hapo mpaka kulipopambazuka kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alfajiri yule mwanamke akarudi kwenye ile nyumba bwana wake alikokuwa, akaanguka chini mlangoni, akalala pale hata kulipopambazuka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alfajiri yule mwanamke akarudi kwenye ile nyumba bwana wake alikokuwa, akaanguka chini mlangoni, akalala pale hata kulipopambazuka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo huyo mwanamke akaja alfajiri, akaanguka chini mlangoni pa nyumba ya mtu yule alimokuwamo bwana wake, hata kulipokucha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Asubuhi, yule mwanamke akaja mpaka mlangoni mwa nyumba alimokuwa bwana wake, akaanguka chini hapo mlangoni na kukaa hapo mpaka kulipopambazuka kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usiku ulipokucha, yule mwanamke akaja, akaanguka mlangoni penye nyumba ya yule mtu, bwana wake alimokuwa, akalala hapo chini, mpaka mchana ukitokea.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo huyo mwanamke akaja alfajiri, akaanguka chini mlangoni pa nyumba ya mtu yule alimokuwamo bwana wake, hata kulipokucha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Asubui, yule mwanamuke akakuja mpaka kwenye mulango wa nyumba ambamo bwana wake alikuwa, akaanguka chini pale kwenye mulango na kubakia pale mpaka kulipopambazuka kabisa.